Powered By Blogger

Sunday, July 1, 2018

MAFUNDISHO YA NDOA SEHEMU YA PILI

               I.               Uhondo wa wanaume umefichika katika “map…” a.k.a korodani na kwenye “mku…” wake            a.k.a       sehemu ya kutolea haja kubwa! Chimba na videle vyako ukianzia kwenye magoti                    mpaka kwenye       “map…yake” a.k.a korodani zake!
     II.            Uhondo wa mumeo umejificha kwenye “mb…yake” a.k.a uume wake Buruza kwa viganja                   vyako kilaini ukianzia kwenye shina la “mb…,” a.k.a uume, ukishusha na kupandisha.                     Chezea            ulimi kwenye eneo lililofanyiwa tohara, busu-busu kisha bugia kabisa.                        Nyonya na                ulimi taratibu        kimahaba!
   III.            Uhondo wa mumeo umefichika kwenye matako yake. Finya-finya au kanda-kanda kama                 unga  wa mandazi hasa wakati unampa. Chochea utamu na matako yake kwa kuyapiga-piga                  atapaza fasta!
  IV.            Utamu wa mmeo umejificha kwenye “map…,yake” a.k.a korodani zake. Zikiwa mdomoni                  mwako, busu-busu “map…, yake”  a.k.a korodani zake. Kisha bugia kabisa, kasha bubuja-                     bubuja taraatibu na kuzigeuza kila upande, atafurahia ajabu!
     V.            Uhondo umejificha kwenye “vuz…,yake” a.k.a nywele ya kibofuni mwake. Papasa au shika-               shika mtindo kuma unanyofoa-nyofoa lakini hunyofoi, utaona unavyo vibrate sisimka na                      kuhangaika na radha ya utamu.
  VI.            Uhondo umejificha katika chuchu zake. Binya-binya chuchu pande zote kushoto na kulia.
VII.            Uhondo umejificha kuanzia kifuani mpaka tumboni. Mpe burudani kwa kumpapasa na                       mikono yako ukianzia kifuani ukitaremkia tumboni na kama ana bustani cheza nayo vizuri                   kabisa.
VIII     …, na kadhalika, karatasi niliyoishia ilikuwa na Uhondo wa Mumeo Umejificha 15; Mbinu 19              za kumpa vizuri; siri 40  za  kuwamaliza wanaume; Sehemu 28  za kumkuna Mumeo; siri 14               za kutumia ili mumeo asitoke ndani ya Ndoa; Makosa ya kuepuka kitandani; Mvuto wa                     Mwanamke umejificha maeneo yafuatayo; Faida za kufuga vuzi; hasara za kufuga vuzi; Msosi           nao-ongeza nguvu za kiume; na Vyakula Vinavyoongeza ladha hamasa msisimko wa Mapenzi.





NAMNA YA KUMRIDHISHA MKE WAKO:
    Mapenzi ni kitu cha Mungu hivyo hakipaswi kuonewa aibu. Tunapigia kwenye huo utaratibu, na maisha ukishaamua kuoa au kuolewa  maana yake ule utaratibu wa kindoa lazima ufuatwe kikamilifu bila kuoneana aibu. Mapenzi ni two way traffic maana yake kutoa na kupokea to give and to receive. Kupenda na  kupendwa , kufanya na kufanyiwa, kushughulika na kushughulikiwa.
      Kimaumbile wanawake na wanaume wanatofautiana sana kwa wanaume wanapata, msisimko haraka na kutoweka  haraka: Kwa akina
Line Callout 1: 23 



MEMA NA MATAKWA YA MAPENDO YA NDOA:
     Mapendo ya ndoa huchukua utumilifu ambamo yaingia mambo yote ya mtu-madai ya mwili na ya silika, nguvu na hisia na kujisikia, matarajio ya roho naya utashi. Mapendo haya yanalenga kwenye umoja wa ndani kabisa wa  nafsi, umoja ambao, licha ya muungano katika mwili mmoja, hupelekea kufanya moyo mmoja na roho moja. Pia mapendo hayo  yanadai kutovunjika na uaminifu katika kujitoa kikamilifu, na yako wazi kwa uzazi. Kwa neno moja, ni juu ya hali za kawaida za kila mapendo ya maumbile ya ndoa, lakini pamoja na maana mpya ambayo hayazitakasi na kiziimarisha tu hali bali huziinua kufikia uonyesho wa tunu hasa za Kikrito.

UMOJA NA KUTOVUNJIKA KWA NDOA:
      Mapendo ya mume na mke yadai, kwa maumbile yake yenyewe, umoja na kutovunjika kwa jumuiya yao ya nafsi inayokumbatia maisha yao yote. “hata wamekuwa si mwili tena bali mwili mmoja” wameitwa kuendelea kukua  katika umoja wao kwa njia ya uaminifu wa kila siku kwa ahadi yao ya ndoa ya kujitoa kwao kikamilifu. Umoja huu wa kibinadamu, hutakaswa, huendelezwa kwa njia ya umoja na kwa njia ya Ekaristi Takatifu inayopokelewa pamoja.
      Umoja wa ndoa, uliothibitishwa  na Bwana, umewekwa wazi katika hadhi sawa ya watu ambayo lazima itolewe kwa mume na mke katika kupendana kwao kiutimilifu. Mitara ni kinyume cha usawa huu wa hadhi na kinyume cha mapendo ya ndoa yasiyogawanyika na mazaifu.

UAMINIFU WA MAPENDO YA NDOA:
     Mapendo ya ndoa, kwa maumbile, yawadai mume na mke uaminifu usiovunjiaka. Hii ni tokeo la zawadi ya nafsi zao wenyewe mume na mke wanayoitoa mmoja kwa mwenzake. Mapendo yataka kuwa halisi; hayawezi kuwa “mpaka tutakavyoona namna nyingine.” Umoja huu wa ndani, zawadi  wanayopeana watu wawili, pia mema ya watoto, hudai uaminifu kamili wa watu wa ndoa, na hutaka muungano usiovunjika.
      Sababu ya ndani zaidi imo katika uaminifu wa Mungu kwa agano lake na ule wa Kristo kwa Kanisa lake. Kwa sakramenti ya ndoa mume na mke wamewezeshwa kuonyesha uaminifu huo na kuushuhudia. Kwa njia ya sakramenti, kutovunjika kwa ndoa hupata maana mpya na ya ndani zaidi.
      Yaweza  kuonekana vigumu, na karibu haiwezekani, kufungamana kwa maisha yote na binadamu mmoja. Kwa sababu hiyo ni muhimu zaidi kutangaza Habari njema, kwamba Mungu anatupenda kwa mapendo halisi na yasiyobadilika, na mume na mke wanashiriki mapendo haya, ambayo  huwategemeza na kuwasaidia, na kwamba kwa njia ya mapendo yao  wanaweza kuwa washindi wa mapendo aminifu ya Mungu. Watu wa ndoa ambao, kwa neema ya Mungu, hutoa
Line Callout 1: 2 



ushuhuda huu mara nyingi katika mazingira magumu sana wanastahili shukrani na msaada wa jumuiya ya Kanisa.
        Hata hivyo kuna mazingira ambamo, kwa sababu tofauti sana, watu wa ndoa kuishi pamoja karibu haiwezekani. Katika mazingira kama hayo, Kanisa huruhusu kutengana kwa mume na mke kimwili na kimaisha. Mbele ya Mungu watu wa ndoa  hawakomi kuwa mume na mke; hawako huru kufanya maagano ya umoja mwingine. Katika mazingira haya magumu, jawabu lililo afadhali lingekuwa upatanisho. Jumuiya ya Kikristo inaitwa kuwasaidia watu hawa kuishi mazingira yao Kikristo, katika uaminifu kwa muungano wao unaodumu kuwa muungano usiovunjika.
       Leo katika nchi nyingi, wako wakatoliki wengi wanaokimbilia talaka  kadiri ya sheria za serikali na wanaofanya muungano mpya kiserikali. Kanisa kwa ajili ya uaminifu kwa neno la Kristo hushikilia “kila mtu atakayemwacha mkewe na kumwoa mwingine azini” kwamba haliwezi kuutambua kama halali muungano mpya kama ndoa ya kwanza ilikuwa halali. Kama wakatoliki wanaoa tena kiserikali wanajikuta katika mazingira ambayo yanapingana kweli kweli na sheria ya Mungu. Kwa hiyo, hawawezi kusogelea Komunyo ya Ekaristi, muda wote wanapobaki katika mazingira hayo. Kwa sababu hiyo hiyo hawawezi kutekeleza wajibu fulani za Kanisa. Upatanisho kwa sakramenti ya kitubio hauwezi kutolewa isipokuwa kwa wale waliotubu kwa kuvunja ishara ya agano na uaminifu kwa Kristo, na ambao wanajifunga kuishi katika kujinyima kabisa ndoa.
        Kuhusu Wakristo wanaoishi katika mazingira haya, na ambao mara nyingi wanatunza Imani, na wanatamani kuwalea watoto wao Kikrito, mapadre na jumuiya yote lazima wajishughilishe kwa uangalifu ili hawa wasijione kama wametengwa na Kanisa, wanamoweza na wanamotakiwa kushiriki uzima wake kama wabatizwa:

Wahimizwe kusikia Neno la Mungu, kuhudhuria Sadaka, kuhudumu katika sala, kutoa michango yao, kusaidia kazi za mapendo na juhudi za jumuiya kwa ajili ya haki, kulea watoto wao katika imani ya Kikristo, kujenga roho na matendo ya toba, na hivi kuomba siku kwa siku neema ya Mungu.

MAFUNDISHO YA NDOA SEHEMU YA KWANZA

MAFUNDISHO YA NDOA

UTANGULIZI:
    Hadhi na  heshima ya ndoa inaendelea kushuka katika miaka hii ya Sayansi na Teknologia.       Maendeleo makubwa ya Sayansi yanaonekana duniani na hivyo ingetakiwa pia maisha ya ndoa yastawishwe zaidi lakini kinyume chake ndiyo mporomoko unaongezeka. Migogoro, Ndoa za mitara kutengana na kuachana ndiyo mambo yanayosikika kila pande ya dunia. Watoto wa mtaani wanaongezeka, magonjwa ya kuambukiza yanayosababishwa na zinaa hata ndani ya ndoa yanasikika.
            Swali; Hali hii itapata uponyaji wapi?
     Kupata uponyaji wa jambo hili, ni kuliponya Kanisa linalohangaika, kwa njia ya Imani thabiti, mafunzo na mafundisho ya familia, kudumisha utamaduni na mila njema, kuendeleza maadili mema kuanzia kwenye   mizizi (root)
     Ndoa ni kuungo bora cha muhimu katika msingi wa mwanadamu kinachoashiria Umoja, Upendo, Amani na Utulivu.
     Karibuni basi tutafakari pamoja kuhusu Ndoa, uuzuri wake, changamoto zake na nini cha kufanya katika kuboresha ndoa zetu ili kanisa liweze kustawi zaidi.




MAANA HALISI YA NDOA:
     Maandiko matakatifu huanza na uumbaji wa mwanaume na mwanamke kwa sura na mfano wa Mungu na humalizika na maono ya “arusi za mwanakondoo” (Uf. 19:9). Hivyo tunaweza kusema ndoa ni muunganiko wa mwanamke na mwanaume kwa hiari na kufuata utaratibu wa Kanisa. Wito wa ndoa umeandikwa katika maumbile yenyewe ya mwanaume na mwanamke kama walivyo toka mikononi mwa muumbaji.
      Mwanaume na mwanamke waliumbwa mmoja kwa ajili ya mwingine
“Si vema mtu huu awe peke yake (Mw. 2:18) mwanamke ni nyama na ubavu wa mwanaume. Asili yao ni moja. Kwa sababu hiyo mwanaume atamwacha Baba yake na Mama yake naye ataambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja (Mw. 2:24). Hata wamekuwa si mwili tena bali mwili mmoja” (Mt. 19:6).
      Vurugu, ghasia zote za ndoa zimetawaliwa na dhambi ya mwanzo iliyovunja uhusiano wa asili wa Mume na Mke kama tokeo la kwanza. Mahusiano hayo yameharibiwa na kulaumiana kati yao (Mw. 3:12) mvuto kati yao, kipaji chao toka kwa Muumba chabadilika kuwa mahusiano ya uonevu na tamaa mbaya, wito mzuri wa mume na mke wa kuzaa na kuongezeka na wa kuitisha nchi umegandamizwa na uchungu wa kuzaa na taabu ya kufanya kazi (Mw. 1:28` 3:16-19).

Line Callout 1: 1 



mama wanapata msisimko palepale na kushuka taratibu na kurudi ni
ngumu zaidi kuliko  wanaume hivyo katika mahusiano ya ndoa inapaswa mwanamke aandaliwe vizuri tena  kwa muda mrefu.
        Kwa kadiri utakavyofanya mapenzi na mke wako ndivyo unadhihirisha upendo wa kweli kadiri ya muda unavyoenda na kadiri utakavyoendelea kumsoma mkeo.
        Muhimu ni kuwa mkweli na muwazi kwa (Be honest), katika mahusiano ya kindoa usijiangalie wewe peke yako bali umuone na mwenzi wako. Kila mmoja anahitaji.
       Kuna msemo usemao “Wakina mama wengi hawana hamu ya kufanya  mapenzi (frigiolity),! Inawezekana  lakini kiukweli ni kiasi kidogo sana. Mwanaume unaweza kumfanya mkeo awe hivyo. Ubinafsi na kutokujua (Ignorance) kwa mwanaume kunaweza kumkosesha furaha mkeo maisha yake yote. Kuepukana na hilo mambo mawili yafanyike:
1.      Hakikisha kuna  upendo wa dhati (AGAPE) hata kitandani; ‘Agape ni upendo unaotafuta furaha kwa kutoa na  kupokea. Kuondoa aina yoyote ya ubinafsi katika ndoa.
2.      Kujua ni kitu gani kinampa mke wako furaha ya kimapenzi na ufanye hivyo. Unaweza kumfikisha mke wako kileleni…,?? Mjue mkeo vizuri.

     Katika mahusiano ya kindoa kwa mwanamke kuna njia 5 za kufuata ili mkeo afurahie uwepo wako kwako: Kimapenzi..!
1)      Maandalizi.
2)      Mawasiliano
·         Clitons & Velva (masikio, pua, mapaja, macho, mdomo, shingo, maziwa, mifereji..)

3)      Kuingia katika  kitendo hicho (mapenzi) Sexual  Intercourse.
·         Usiharakishe
·         Mpaka yeye mwenyewe aamue
·         Mpaka ute utoke

4)      Kufikia kilele (Orgasn).
·         Mwanaume once
·         Mwanamke-mara 3 hadi 4

5)      Baada ya kitendo hicho (real life)-usipumzike mara shukuru, mwonyeshe kwamba umeridhika.
Tormular;  Mwanaume anapenda ili ‘kupata mapenzi’.

Mwanamke anatoa mapenzi ili ‘kupendwa au kupata upendo’