I. Uhondo
wa wanaume umefichika katika “map…” a.k.a korodani na kwenye “mku…” wake a.k.a sehemu ya kutolea haja kubwa! Chimba na videle vyako ukianzia kwenye magoti mpaka kwenye “map…yake” a.k.a korodani zake!
II. Uhondo wa mumeo umejificha kwenye “mb…yake” a.k.a uume wake Buruza kwa viganja vyako kilaini ukianzia kwenye shina la “mb…,” a.k.a uume, ukishusha na kupandisha. Chezea ulimi kwenye eneo lililofanyiwa tohara, busu-busu kisha bugia kabisa. Nyonya na ulimi taratibu kimahaba!
III. Uhondo wa mumeo umefichika kwenye matako yake. Finya-finya au kanda-kanda kama unga wa mandazi hasa wakati unampa. Chochea utamu na matako yake kwa kuyapiga-piga atapaza fasta!
IV. Utamu wa mmeo umejificha kwenye “map…,yake” a.k.a korodani zake. Zikiwa mdomoni mwako, busu-busu “map…, yake” a.k.a korodani zake. Kisha bugia kabisa, kasha bubuja- bubuja taraatibu na kuzigeuza kila upande, atafurahia ajabu!
V. Uhondo umejificha kwenye “vuz…,yake” a.k.a nywele ya kibofuni mwake. Papasa au shika- shika mtindo kuma unanyofoa-nyofoa lakini hunyofoi, utaona unavyo vibrate sisimka na kuhangaika na radha ya utamu.
VI. Uhondo umejificha katika chuchu zake. Binya-binya chuchu pande zote kushoto na kulia.
VII. Uhondo umejificha kuanzia kifuani mpaka tumboni. Mpe burudani kwa kumpapasa na mikono yako ukianzia kifuani ukitaremkia tumboni na kama ana bustani cheza nayo vizuri kabisa.
VIII …, na kadhalika, karatasi niliyoishia ilikuwa na Uhondo wa Mumeo Umejificha 15; Mbinu 19 za kumpa vizuri; siri 40 za kuwamaliza wanaume; Sehemu 28 za kumkuna Mumeo; siri 14 za kutumia ili mumeo asitoke ndani ya Ndoa; Makosa ya kuepuka kitandani; Mvuto wa Mwanamke umejificha maeneo yafuatayo; Faida za kufuga vuzi; hasara za kufuga vuzi; Msosi nao-ongeza nguvu za kiume; na Vyakula Vinavyoongeza ladha hamasa msisimko wa Mapenzi.

NAMNA YA
KUMRIDHISHA MKE WAKO:
Mapenzi ni kitu cha Mungu hivyo hakipaswi
kuonewa aibu. Tunapigia kwenye huo utaratibu, na maisha ukishaamua kuoa au kuolewa maana yake
ule utaratibu wa kindoa lazima ufuatwe kikamilifu bila kuoneana aibu. Mapenzi
ni two way traffic maana yake
kutoa na kupokea to give
and to receive. Kupenda na kupendwa , kufanya na kufanyiwa, kushughulika
na kushughulikiwa.
Kimaumbile wanawake na wanaume
wanatofautiana sana kwa wanaume wanapata, msisimko haraka na kutoweka haraka: Kwa akina
MEMA
NA MATAKWA YA MAPENDO YA NDOA:
Mapendo ya ndoa huchukua utumilifu ambamo
yaingia mambo yote ya mtu-madai ya mwili na ya silika, nguvu na hisia na
kujisikia, matarajio ya roho naya utashi. Mapendo haya yanalenga kwenye umoja
wa ndani kabisa wa nafsi, umoja ambao,
licha ya muungano katika mwili mmoja, hupelekea kufanya moyo mmoja na roho
moja. Pia mapendo hayo yanadai kutovunjika na uaminifu katika kujitoa kikamilifu, na yako wazi kwa uzazi. Kwa neno moja, ni juu ya hali za
kawaida za kila mapendo ya maumbile ya ndoa, lakini pamoja na maana mpya ambayo
hayazitakasi na kiziimarisha tu hali bali huziinua kufikia uonyesho wa tunu
hasa za Kikrito.
UMOJA
NA KUTOVUNJIKA KWA NDOA:
Mapendo ya mume na mke yadai, kwa
maumbile yake yenyewe, umoja na kutovunjika kwa jumuiya yao ya nafsi
inayokumbatia maisha yao yote. “hata wamekuwa si mwili tena bali mwili mmoja”
wameitwa kuendelea kukua katika umoja
wao kwa njia ya uaminifu wa kila siku kwa ahadi yao ya ndoa ya kujitoa kwao
kikamilifu. Umoja huu wa kibinadamu, hutakaswa, huendelezwa kwa njia ya umoja
na kwa njia ya Ekaristi Takatifu inayopokelewa pamoja.
Umoja wa ndoa, uliothibitishwa na Bwana, umewekwa wazi katika hadhi sawa ya
watu ambayo lazima itolewe kwa mume na mke katika kupendana kwao kiutimilifu. Mitara ni kinyume cha usawa huu wa hadhi
na kinyume cha mapendo ya ndoa yasiyogawanyika na mazaifu.
UAMINIFU WA MAPENDO YA NDOA:
Mapendo
ya ndoa, kwa maumbile, yawadai mume na mke uaminifu usiovunjiaka. Hii ni tokeo
la zawadi ya nafsi zao wenyewe mume na mke wanayoitoa mmoja kwa mwenzake.
Mapendo yataka kuwa halisi; hayawezi kuwa “mpaka tutakavyoona namna nyingine.”
Umoja huu wa ndani, zawadi wanayopeana
watu wawili, pia mema ya watoto, hudai uaminifu kamili wa watu wa ndoa, na
hutaka muungano usiovunjika.
Sababu ya ndani zaidi imo katika uaminifu
wa Mungu kwa agano lake na ule wa Kristo kwa Kanisa lake. Kwa sakramenti ya
ndoa mume na mke wamewezeshwa kuonyesha uaminifu huo na kuushuhudia. Kwa njia
ya sakramenti, kutovunjika kwa ndoa hupata maana mpya na ya ndani zaidi.
Yaweza
kuonekana vigumu, na karibu haiwezekani, kufungamana kwa maisha yote na
binadamu mmoja. Kwa sababu hiyo ni muhimu zaidi kutangaza Habari njema, kwamba
Mungu anatupenda kwa mapendo halisi na yasiyobadilika, na mume na mke
wanashiriki mapendo haya, ambayo
huwategemeza na kuwasaidia, na kwamba kwa njia ya mapendo yao wanaweza kuwa washindi wa mapendo aminifu ya
Mungu. Watu wa ndoa ambao, kwa neema ya Mungu, hutoa
ushuhuda
huu mara nyingi katika mazingira magumu sana wanastahili shukrani na msaada wa
jumuiya ya Kanisa.
Hata
hivyo kuna mazingira ambamo, kwa sababu tofauti sana, watu wa ndoa kuishi
pamoja karibu haiwezekani. Katika mazingira kama hayo, Kanisa huruhusu kutengana kwa mume na mke kimwili na
kimaisha. Mbele ya Mungu watu wa ndoa
hawakomi kuwa mume na mke; hawako huru kufanya maagano ya umoja
mwingine. Katika mazingira haya magumu, jawabu lililo afadhali lingekuwa
upatanisho. Jumuiya ya Kikristo inaitwa kuwasaidia watu hawa kuishi mazingira
yao Kikristo, katika uaminifu kwa muungano wao unaodumu kuwa muungano
usiovunjika.
Leo katika nchi nyingi, wako wakatoliki
wengi wanaokimbilia talaka kadiri ya sheria za serikali na wanaofanya
muungano mpya kiserikali. Kanisa kwa ajili ya uaminifu kwa neno la Kristo
hushikilia “kila mtu atakayemwacha mkewe na kumwoa mwingine azini” kwamba
haliwezi kuutambua kama halali muungano mpya kama ndoa ya kwanza ilikuwa
halali. Kama wakatoliki wanaoa tena kiserikali wanajikuta katika mazingira
ambayo yanapingana kweli kweli na sheria ya Mungu. Kwa hiyo, hawawezi kusogelea
Komunyo ya Ekaristi, muda wote wanapobaki katika mazingira hayo. Kwa sababu
hiyo hiyo hawawezi kutekeleza wajibu fulani za Kanisa. Upatanisho kwa
sakramenti ya kitubio hauwezi kutolewa isipokuwa kwa wale waliotubu kwa kuvunja
ishara ya agano na uaminifu kwa Kristo, na ambao wanajifunga kuishi katika
kujinyima kabisa ndoa.
Kuhusu Wakristo wanaoishi katika
mazingira haya, na ambao mara nyingi wanatunza Imani, na wanatamani kuwalea
watoto wao Kikrito, mapadre na jumuiya yote lazima wajishughilishe kwa
uangalifu ili hawa wasijione kama wametengwa na Kanisa, wanamoweza na
wanamotakiwa kushiriki uzima wake kama wabatizwa:
Wahimizwe
kusikia Neno la Mungu, kuhudhuria Sadaka, kuhudumu katika sala, kutoa michango
yao, kusaidia kazi za mapendo na juhudi za jumuiya kwa ajili ya haki, kulea
watoto wao katika imani ya Kikristo, kujenga roho na matendo ya toba, na hivi
kuomba siku kwa siku neema ya Mungu.